HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 September 2012

RATIBA YA CHAN YAWEKWA HADHARANI CAIRO

Draw for African Nations Championship 2014 qualifiers completed
Shirikisho la mpira wa Miguu Barani afrika limepanga ratiba ya  kufuzu michuano ya mataifa ya afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya nchi Maarufu kama CHAN 2014 Ambapo fainali zake  zitafanyika afrika kusini mwakani   . Ratiba hiyo imepangwa makao makuu ya CAF (CAIRO )  Ikiongozwa na katibu mkuu  wa CAF , Hicham El  imrani ambapo Ratiba imejumuisha hatua za awali mzunguko wa kwanza na wa pili ambapo timu 15 zitajumuika na mwenyeji afrika kusini katika fainali za mashindano mwakani kama ilivyo kawaida hatua za kufuzu huchezwa kikanda  kanda   katika hatua za mwisho timu mbili kutoka kanda ya kaskazini  na timu mbili nyingine kutoka kila kanda isipokuwa kanda ya kati  na kusini zenyewe zitatoa timu tatu pamoja na wenyeji afrika kusini ,ratiba ilizingatia ubora wa viwango vya Chan  na matokeo ya mechi zao mbili za mwisho 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers