Aliyekuwa katibu mkuu wa Shirikisho la soka tanzania zamani FAT Michael Richard Wambura amesemakuwa anamshngaa Al Hadji Muhidin Ndolanga kuwa japokuwa amepewa urais wa heshima lakini bado ameshindwa kusimamia katiba na kanuni za uchaguzi wa DRFA mara baada moja kati ya wagombea Elias Aveva kuwekewa pingamizi kuwa ana uzoefu wa kutosha wambura anafafanua zaidi .
SIKIZA HAPA
No comments:
Post a Comment