HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 October 2012

CAPELO AMTEMA ASHARVIN TIMU YA TAIFA



Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Urusi mtaliano Fabio Capello amemwacha mshambuliaji wa klabu ya Aresnal ya uingereza  Andrey Arshavin katika kikosi cha watu ishirini na nne kitakacho cheza mechi ya kufuzu kwa fainali za kombe la dunia Huko Brazil   2014 FIFA World Cup,  katika mchezo wa Kundi Kundi  F  Dhidi ya  Ureno na   Azerbaijan.

mechi zitakazo chezwa  jijini  Moscow mwezi ujao  kocha huyo  mwenye miaka 66 amemwacha pia mshambuliaji wa Timu hiyo Pavel Pogrebnyak, na kumjumuisha kikosini mchezaji mwenye miaka 22 Rookie Maxim Grigoriev Anaechezea  Lokomotiv Moscow ilikuongeza nguvu katika sehemu ya ushambuliaji  katika nafasi ya ulinzi kocha huyo wa zamani wa uingereza amechagua wachezaji wawili wapya ambaoni - Renat Yanbayev, ambaye amaejiunga hivi karibuni na  Zenit St. Petersburg akitokea Lokomotiv Moscow, na Vladimir Granat kutoka Dynamo Moscow ambapo amechukua nafasi ya mchezaji wa  CSKA Moscow's Georgy Schennikov, ambaye alikuwa kwenye kikosi hicho mwezi uliopita dhidi ya Ireland ya Kaskazini na  Israel.

Wachezaji wengine aliowaongeza ni kiungo   Igor Denisov, japokuwa mchezaji huyo mwenye miaka ishirini nane  amekuwa apangwi mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya ligi kuu ya urusi  .  Capello amemwacha kiungo mkongwe wa Urusi anayechezea Zenit, veteran Konstantin Zyryanov,  ambaye nafasi yake inachukuliwa na  Lokomotiv's Dmitry Tarasov.
wachezaji walioitwa kwenye timu ya taifa ya Urusi ni kama ifuatavyo
Goalkeepers: Igor Akinfeev (CSKA Moscow), Anton Shunin (Dynamo Moscow), Vladimir Gabulov (Anzhi Makhachkala)

Mabeki : Alexander Anyukov, Renat Yanbayev (both Zenit St. Petersburg), Alexei Berezutsky, Vasily Berezutsky, Sergei Ignashevich (all CSKA Moscow), Andrei Yeshchenko (Lokomotiv Moscow), Vladimir Granat (Dynamo Moscow)

VIUNGO : Diniyar Bilyaletdinov, Dmitry Kombarov (both Spartak Moscow), Vladimir Bystrov, Igor Denisov, Viktor Faizulin, Roman Shirokov (all Zenit St. Petersburg), Denis Glushakov, Alexander Samedov, Dmitry Tarasov ( Lokomotiv Moscow), Alan Dzagoev (CSKA Moscow)

Washambuliaji : Artem Dzyuba (Spartak Moscow), Maxim Grigoriev (Lokomotiv Moscow), Alexander Kerzhakov (Zenit St. Petersburg), Alexander Kokorin (Dynamo Moscow)

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers