FIFA na Shirikilisho la soka la France leo limetangaza majina na makocha watakao wania tuzo ya ubora wa fifa Ballon d’Or ambapo maamuzi yatafanywa na makocha na manahodha wa timu husika ambao watachaguliwa na timu husika
Mshindi wa Tuzo hizo za jumla atapewa zawadi siku ya ugawaji zawadi katika sherehe itakayofanya huko
Zurich Kongresshaus on 7 January 2013, katika hizo pia itateuliwa kikosi cha wachezaji bora cha FIFA FIFPro World XI, Zawadi nyingine ni FIFA Puskás – Goli zuri zaidi la mwaka – Rais bora wa FIFA na FIFA Fair Play .

Orodha ya Wachezaji wanaowania tuzo ya Uchezaji bora wanawake
Camille Abily (France), Miho Fukumoto (Japan), Carli Lloyd (USA), Marta (Brazil), Aya Miyama (Japan), Alex Morgan (USA), Megan Rapinoe (USA), Homare Sawa (Japan), Christine Sinclair (Canada), Abby Wambach (USA).
Orodha ya Makocha wanaowania ukocha Bora wa wanawake Dunia .
Bruno Bini (France/France national team), John Herdman (England/Canada national team), Patrice Lair (France/Olympique Lyonnais), Maren Meinert (Germany/Germany U-20 national team), Silvia Neid (Germany/Germany national team), Hope Powell (England/England national team), Norio Sasaki (Japan/Japan national team), Pia Sundhage (Sweden/USA national team), Steve Swanson (USA/USA U-20 national team), Hiroshi Yoshida (Japan/Japan U-20/U-17 national teams).
No comments:
Post a Comment