Mshambuliaji wa kimataifa wa Barcelona na Argentina
Lionel Messi amekabidhiwa kiatu chake cha dhahabu baada ya kumaliza mfungaji bora katika ligi za ulaya mwaka jana huku akifunga magoli manne mbele ya Cristiano Roanaldo ambapo alifunga magoli 50 hii imekuwa mara ya pili kwa mchezaji huyu kufanya hivyo.
Hii imekuwa zawadi yangu ya heshima aliiambia tovuti ya klabu hiyo siku zote nasema ninaposhinda watu wengi huwa wanapenda ninachokifanya .
huu ndio ukweli na ndicho ninachokipenda lakini ninapofunga sio pekee yangu ni kazi ya timu nzima
No comments:
Post a Comment