Waamuzi wa soka ,Italia na washika vibendera watakuwa na wakati mgumu sana katika ratiba ya wiki ijayo ambapo watakuwa katika ulinzi mkali kuliko wakati mwingine wowote baada ya kufanya vibaya mwishoni mwa juma Serie A Ndio ligi peke barani ulaya ambayo inatumia washika vibendera zaidi ya wawili utaratibu unaopendwa zaidi na Rais wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Michel Platini, ambapo walishindwa kufanya maamuzi sahihi katika mechi kati ya Catania na Lazio vile vile AS Roma Juventus Aidha viongozi wa Juventus na wameingia matatani katika utetezi baada ya kuonekana wakimshawishi mwamuzi kutoa maamuzi ambayo sio sahihi .
Rais wa Catania Antonio Pulvirenti alikuwa na hasira pale timu yake ilipokataliwa goli sahihi dhidi ya Juventus, ambao walishinda goli kwa sifuri 1-0 dhidi Arturo Vidal kabla ya mapunziko
ambapo rais wa Juventus Andrea
Agnelli, ambaye ijumaa hii alisema shirikisho la soka la italia lilitakiwa kuipora Catania alama tatu muhimu kama mfano wa kuchezesha soka kwa mchezo wa haki ilikotoa funzo kwa timu nyingine
juma hili kumetokea na tabia ya kuwatiahoma waamuzi kufanya maamuzi yasiyo sahihi katika ligi ya italia ambapo tuhuma hizi zimeperekwa zaidi katika benchi la timu ya soka ya juventus kwa kuwashinikiza waamuzi kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
No comments:
Post a Comment