Mwamuzi wa kimataifa Oden Mbaga (aliyevaa jezi ya light blue) Idd Maganga (katikati) Jamhuri na aliyekaa chini ni Omari Miyala kwenye uwanja wa Taifa hivi karibuni |
MWAMUZI wa kimataifa wa Tanzania Oden Mbaga amechaguliwa kuchezesha mchezo wa kirafiki kati ya Kenya na Afrika ya Kusini mchezo utakaochezwa kesho kwenye uwanja wa Kasarani jijini Nairobi.
Mbaga atasaidiwa waamuzi wasaidizi John Kanyeye na Jese Erasmo wote wa Tanzania.
Mchezo huo ni wa kirafiki kutokana na ratiba ya Shirikisho la kimataifa kuagiza nchi wanachama kucheza mechi za kirafiki kila mwezi.
Pamoja na kuwa mashabiki wa soka Tanzania wamekuwa wakiwatuhumu waamuzi bila kuelewa sheria wameendelea kupata michezo ya kimataifa.

No comments:
Post a Comment