HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 October 2012

TEVEZ 1 SWANSEA CITY NIL


Manchester City ikicheza soka ambayo siyo ya kuvutia sana leo hii imepata ushindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya Swansea City baada ya kupata matokeo mabaya katika ligi ya mabingwa Barani ulaya katika mwa wiki hii.
 Carlos Tevez's amefunga goli pekee ambalo lilimpa pumzi nzito kocha wa Man city  Roberto Mancini's
 GolKipa Joe Hart alikuwa hodari baada ya kukoa michomo miwili kutoka kwa   Michu na Pablo Hernandez ambao walipoteza nafasi muhimu za kufunga .
 lakini  Tevez's aliachia bakora kali mita au yard 30-Bakora hiyo ilitinga moja kwa moja kimiani na kuing'arisha  Man City .
Makocha wote walipata pigo katika timu zao kwani golkipa wa Swans Michel Vorm na mlinzi wa  Micah Richards wote walipata majeraha .
wachezaji wote walihudumiwa kwa dakika sita kila mmoja na kuifanya mechi hiyo kuwa ndefu kuliko mechi zote zilizowahi kuchezwa katika historia ya ligi kuu ya uigereza
 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers