BINZUBEIRY PICHA |
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Azam Stewart Hall Amerejesha amani ,katika timu hiyo baada ya kuichapa Coastal Union ya Tanga mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Azam imefikisha pointi 21, baada ya kucheza mechi 10 na sasa inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu, ikifuatiwa na Simba na Yanga, ambazo zina alama 23 katika michezo 11,iliyocheza
Magoli ya Azam yalifungwa na
Gaudence Mwaikimba , Kipre Tcheche Khamis Mcha ‘Vialli’ Othman Tamim(kajifunga)
wakati goli coast lilifungwa na kiungo Jerry Santo.
Stewart huo umekuwa mwanzo mzuri kwa kocha huyo baada ya kukaribishwa na ushindi mzuri na kuonyesha mwanzo mzuri . Amewapongeza vijana wake kwa kucheza kwa kufuata maelekezo yake na sasa anaelekeza nguvu zake katika mchezo ujao dhidi ya Yanga siku ya Jumapili, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment