Klabu ya soka ya Bolton Wanderers imepata hasara ya pauni za uingereza £22.1m katika mwaka wao wa mahesabu kifedha na kuwa na deni la shilingi £136.5m.
Japokua Deni hilo la pauni £125m kwa kiasi kikubwa linadaiwa na mmiliki wa klabu hiyo Eddie Davies, ambaye amekuwa akihifadhili klabu hiyo kwa muda mrefu sasa.
Japokua Deni hilo la pauni £125m kwa kiasi kikubwa linadaiwa na mmiliki wa klabu hiyo Eddie Davies, ambaye amekuwa akihifadhili klabu hiyo kwa muda mrefu sasa.
" hii ni hatua kubwa sana ya kupiga kura ya kuwa na imani naye tukiwa katika wakati mgumu sana na kujituma kwake katika klabu amesema mwenyekiti wa bolton Phil Gartside.
Kampuni inayotazama mahesabu ya klabu hiyo, Burnden Leisure, imesema deni hilo limepungua kwa pauni za kiingeeza £26.1m mwaka 2011.
Takwimu zinaonyesha kuwa miezi kumi na mbili iliopita 12 hadi june 30 ,mwaka 2012 na waliweza kuafanikiwa kwa kuongeza mapato kwa pauni £10m kwa mauzo ya wachezaji ikiwa pamoja na kumuuuza beki wa timu hiyo Gary Cahill kwenda Chelsea Mwezi January.
Wanderers walishuka daraja mwezi May, na wakimaliza miaka 11-katika ushiriki wao wa ligi kuu ya uingereza
Gartside aliiiambia tovuti ya klabu hiyo : " Tumeendelea kuwa kwenye wakati mgumu hasa kiuchumi.
lakini tumeendelea kuchunguza katika biashara zetu na kwa mwaka wa pili tumepunguza madeni yetu
" jambo kuu la muhimu ni kuwa Eddie Davies amewekeza kwenye klabu yetu katika madeni ya muda mrefu na mfupi .
" Kupoteza nafasi katika ligi ya Barclays Premier League ilikuwa ni hasara kubwa sana - Mashabiki , Maofisa na wachezaji ,

Lengo letu ni kurejea kwenye nafasi yetu ya juuu .
No comments:
Post a Comment