Mwandishi wa Habari kutoka ireland amefungua kesi ya madai dhidi kiongozi wa chama cha kimataifa cha mchezo wa Baskeli Pat McQuaid na Hein Verbruggen, akiwa tuhumu kumkikanga Lance Armstrong pale aliposhinda mataji saba ya Tour de France.
Paul Kimmage, ambaye ni bingwa wa zamani Tour rider na moja ya wanaharakati wawazuiaji utumiaji madawa ya kuongeza michezoni amefungua madai katika mahamaka moja huko Uswis kwa kuwatuhumu kwa kashfa ya kifisadi .
Kimmage's ambaye anamtumia mwanasheria wake kutoka Uswis , Cedric Aguet, ameimbia Associated Press Leo kuwa wanaushaidi wa kurasa 28 na imekabidhiwa kwa mwendesha mashitaka huko Vevey, nje kidogo ya makao makuu ya UCI .
Mwanasheria huyo amesema mteja wake ataamua ndani ya majuma mawili kufungua kesi ya madai:

Kimmage's anasema madai yake ni kuwa ucl na viongozi wake eidha moja kwa moja au kwa kutumia njia nyingine walimsaidia Armstrong kujipatia fedha huku wakijua anatumia madawa ya kuongeza nguvu
Armstrong anakabiliwa na madai ya kurejesha fedha takriban Dollari za kimarekani $4 million ambazo ilikuwa zawadi kwa ushindi alioupoata toka mwaka 1999-2005 .
" Yote hayo yalifanya huko Switzerland, ndani ya himaya ya UCI huko Aigle. na hii ndio sababu tunafungua kesi ya madai katika mamlaka ya Vevey'' ilitupate haki na hoja ya msingi alisema

Aguet ..
No comments:
Post a Comment