HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 November 2012

SIAMINI KAMA Mark Clattenburg anaweza kutoa maneno kama hayo:FERGUSON


Kocha wa Manchester United  Sir Alex Ferguson  Amesema kuwa Amini kuwa mwamuzi Mark Clattenburg anaweza kutoa maoni au maneno ya kibaguzi .

Mwamuzi huyo anashutumiwa kwa kutoa maamuzi ya wazi kwa kiungo wa klabu ya chelsea John Obi Mikel wakati wa mechi ya ligi kuu ya premier ya Uingereza Dhidi ya   United's mchezo ulikwisha kwa ushindi  3-2 dhidi ya chelsea katika uwanja wa  Stamford Bridge jumapili iliyopita .
Kwa sasa uchunguzi unaendelea kufanyika na Chama cha soka cha uingereza na askari wa  Metropolitan huku  Chelsea wakiwa wanafanya utaratibu wa madai yao ndani ya klabu yao
 

Lakini  Ferguson Amesema : " Siamini kama  Mark Clattenburg anaweza kutoa maoni kama hayo  ninakataa kuamini hilo .
Nina fikiri nijambo ambalo huwezi kufikiria hasa katika mazingira ya kisasa .Mimi siamini kama ni rahisi namna  hiyo
. Hakuna uwezekano wa mwamuzi kufanya hivyo au kujaribu kufanya hivyo nashawishika kusema haiwezekanani .

"Nafikiri mechi tunazoziona kwenye ulimwengu wa leo ni tofauti kabisa na miaka 25 iliyopita mambo yamebadilika kabisa
"Nimecheza mpira mimi na najua hari ilivyo kati ya waamuzi na wachezaji miaka 25 iliyopita ni tofauti kabisa na leo  .
" Sijawahi kusikia mchezaji akija kwangu kunieleza kuwa mwamuzi kamtolea maneno ya kibaguzi katika miaka kumi na tano hata siku moja 

1 comment:

  1. Kama hujawahi kusikia mwamuzi akitoa maneno ya kibaguzi kwa muda wote uliofundisha mpira haimaanishi kuwa huwa hawatoi maneno hayo. Inamaanisha tu hujawahi kusikia. Kuwepo kwa kitu ni jambo jingine na kusikia kwa kitu hicho kipo ni jambo kabisa.

    ReplyDelete

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers