HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 December 2012

Alan Pardew NATAKA KUMMBAKISHA BA

Kocha mkuu wa Newcastle United Alan Pardew  anataka kummbakisha mshambuliaji   Demba Ba  na kumaliza minong'ono kuwa mshambuliaji wa timu hiyo kuwa anataka kuondoka   St James' Park. 

 Ba anaripotiwa kuwa na thamani ya pauni milioni  £7m  amekuwa akitaka kuripotiwa kutaka kuhama Mwezi january mwakani 

 Lakini  Pardew amekuwa tayari kumpa mkataba mwingine ambao wamesema hawatauweka wazi atakama kama atasaria klabu hapo au kutosaria  


 Ba amefunga mabao  27 katika mechi  53 za ligi ya premier ya uingereza tangu ajiunge na Newcastle kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea west ham  Mwezi June 2011. 

Ambapo Timu za Queens Park Rangers na  Arsenal zimeripotiwa kumtaka mchezaji huyo ambaye aliwahi kuchezea   Hoffenheim ya ujerumani , ambaye amefunga mabao kumi na moja msimu huu 

 Pardew  anaamini kuwa mchezaji huyu wa kimataifa wa senegal anataka kubakia klabu hapo hadi kiangazi 

"Ni kweli na ndio uhalisia kwa wakati huu wa Dirisha dogo ni wakati muhimu na kama , akiondoka anatulutea matatizo makubwa katika upande wetu 

 "Nadhani atabaki lakini kuna nguvu kubwa  na uwezekano wa kuwa huenda akaondoka . 

 "Wakati wa kiangazi  - Lakini sitakubali nitafanya jambo wakati wa kiangazi kuhusu jambo hili ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers