HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 December 2012

FERGUSON :oooOOH Shit nilimsainisha bila kumtazama


 Mshambuliaji wa Manchester United Mwenye thamani ya pauni  £7.4m  Bebe  ameperekwa kwa mkopo katika klabu moja huko kwao ureno Rio Ave.

Bebe alijiunga Man u akitokea klabu moja ya ureno ijulikanayo  Guimaraes mwaka  2010 na kocha wa Man u alikiri kuwa ndiye mchezaji pekee na wa kwanza  aliyemsajiri bila kumtazama .
 Mchezaji huyo aliperekwa kwa mkopo baada ya kushindwa kuonyesha uwezo katika Timu ya Man u na kwenda klabu ya  Besiktas ya Ututurki mwezi juni mwaka jana  .

 Alichezea kwa muda alipokuwa Besiktas kabla hajaumia goti alipokuwa akichezea timu ya taifa ya ureno chini ya miaka ishirini  moja lakini kwa sasa amepona na anatarajia kundelea vizuri  huko  Rio Ave.
ambaye binafsi amesema kuwa ataonyesha ushirikiaano wote katika timu hiyo japokuwa mambo yalimwendea vibaya msimu uliopita

  Mwezi may askari toka ureno walikuwa wakichinguza Manchester united kuhusu mchezaji huyo  kama kulitolewa rushwa katika uhamisho wake
. ambapo wanachunguza kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa pauni Mil tatu zililipwa kwa Jorge Mendes's Gestifute akiwa kama wakala jambo ambalo linasemeka haukuwa utaratibu .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers