HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 December 2012

NITAFURAHI KAMA NITAMWACHIA KIBARUA HIKI Pep Guardiola



Rafael Benitez  Amesema angefurahi zaidi kama angemkabidhi timu aliyekuwa kocha wa timu ya soka ya Barcelona Pep Guardiola kama atashinda angalu taji moja hasa katika wakati huu anapoifundisha timu hiyo  kwa muda . 

 Mwezi uliopita , Mkufunzi huyo wa zamani wa-Liverpool  Benitez alikabidhiwa timu baada ya kufutwa kazi kwa  aliyekuwa kocha wa chelsea na mshindi wa klabu bingwa barani ulaya  Mtaliano  Roberto Di Matteo kuwa mkufunzi mkuu hadi mwishoni mwa msimu  . 

 Guardiola amejiweka pembeni tangu alipoachana na   Barcelona wakati wa kiangazi msimu uliopita .

 "Guardiola ana Takwimu nzuri na ya aina yake ,"  anasema Benitez alimwambia mtangazaji  wa Michezo wa   BBC Richard Conway. " kama akija  na tukiwa tumeshinda mataji mengi nitafarijika sana na ujio wake 

 Je utajiskia kama mmiliki wa Timu hiyo  Roman Abramovich akikwambia unatakiwa kuondoka , Benitez anasema : "Nilipoamua kuja nilijua na saini  kandarasi ya miezi sita aua saba  na nilikuwa sifikirii kundelea zaidi ya hapo''

 
 Benitez  ameongeza kuwa anajua yupo katika wakati mgumu kuhusu swala la mashabiki lakini amesema kuwa atawapa kitu ambacho hawata amini . 

 "Nina elewa hisia za mashabiki kwa sababu ya uhasama mkubwa kati ya timu mbili (Liverpool na  Chelsea)," . 
 
MATAJI KATI YA
 Benitez v Guardiola
Rafael Benitez - La Liga (2), Uefa Cup (1), FA Cup (1), Community Shield (1), Champions League (1), Super Cup (1), Supercoppa Italiana (1), Club World Cup (1) Total 9
 Pep Guardiola - La Liga (3), Copa del Rey (2), Supercopa de Espana (3), Champions League (2), S
uper Cup (2), Club World Cup (2) Total 14

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers