Shirikisho la soka la kenya (FKF) na Baraza kuu la taifa na wanachama wa (NEC) Wamempongeza Mwenyekiti wa wa shirikisho hilo Sam Nyamweya Baada ya kupewa heshima ya Tuzo ya Mkuki wa moran (MBS) na Rais wa Nchi hiyo Mwai Kibaki Ikulu ya Kenya jijini Nairobi katika maadhimisho ya 49 ya siku ya Jamhuri .
Hii imekuwa Mara ya kwanza kwa kiongozi wa soka kupewa heshima hiyo ya MBS katika historia ya Kenya.
Wanachama wa Nec wakiongozwa na Makamu mwenyekiti Robert Asembo, Elly Mukolwe, Tom Alila, Anjeline Mwikali na Doris Petra walimpongeza Rais kibaki kwa kuunga mkono juhudi za Nyamwea kwa kazi ya kuleta maendeleo katika soka na kazi kubwa aliyofanya katika shirikisho hilo .
Zawadi hiyo ambayo hutolewa na Rais ni kielelezo tosha cha kutambua maendeleo makubwa ya yaliyofanywa na mchezo

unaopendwa zaidi nchini kenya kwa mwaka jana
katika mwaka wa kwanza wa uongozi wake tumeweza kuona ligi ya kenya ikipata maendeleo makubwa ligi daraja la kwanza ligi za mikoa manispaa wilaya na ligi ya wanawake
.
Washirika wakubwa katika udhamaini Tusker, Coca Cola na kampuni kubwa ya kuzalisha umeme kwa kuonyesha jitihada kubwa katika kuukuza mchezo huo .

yapo mambo mengi sana ambayo yametengamaa ikiwemo waamuzi bora na ubora wa vilabu umeimalika alisema makamu wa Rais
Robert Asembo.
.
.
No comments:
Post a Comment