Mmiliki
wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangenzi ‘Zamunda’ akimchukulia fomu ya
kugombea Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu kwa niaba ya klabu za Ligi Kuu
zilizompendekeza, Mwenyekiti wa Yanga SC, Yusuf Mehbub Manji (kulia)
ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF), Ilala, Dar es Salaam mida
hii, kuelekea uchaguzi utakaofanyika Februari 24, mwaka huu
mjini Dar es
Salaam. Anayetoa fomu hiyo kushoto ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce
Kakwaya.
Binzubery undstand
No comments:
Post a Comment