Baada ya kufanikiwa kutambulishwa kwa tekonolojia ya kugundua Goli kama limeingia au la - (GLT) wakati wa klabu bingwa ya dunia iliyofanyika Japan mwaka jana mwezi December 2012,
FIFA imeamua kutumia utaratibu huo mwakani nchini brazil wakati wa kombe la mabara na kombe la dunia 2013 na 2014 .
Dhumuni la kuanzisha la utaratibu huu ni kusaidia waamuzi na wasaidizi wake na kuanza kuweka mfumo huo katika viwanja mbalimbali na waamuzi kuvijaribu ambapo FIFA imeshotoa tenda hiyo wakiianza na kombe la dunia nchini Brazil ,
Mifumo hiyo miwili GLT imesha pewa kibali kwa mujibu wa shirikisho la soka duniani FIFA
GLT, na makampuni mengine ambayo yamepitishwa leo ambayo waliitwa kuchukua tenda zao
watakao shinda tenda wataitwa makao makuu ya fifa na kwenda viwanjani kutazama jinsi watakavyo weka mifumo hiyo kiwanjani
No comments:
Post a Comment