HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 February 2013

MAN U JUU ALAMA KUMI NA TANO DHIDI YA CITY

Rafael 
Ryan Giggs amefunga goli katika mchezo wake  999th akiwa na  Manchester United na kuipa timu yake  alama kumi na tano( 15) katika uongozi dhidi ya  Manchester City ikipata ushindi Dhidi ya  QPR. 

Kijana huyo kutoka wales alifunga baada ya mbrazil  Rafael's kuachia shuti lakini lilirudi kiwanjani na kukutana na Giggs .

Ryan alionyesha uwezo wa hari ya juu na alimtengenezea Luis nani nafasi na yeye akufanya ajizi na alimfunga mlinda mlango wa QPR Julio Cesar. 

Arsenal playmaker Santi Cazorla 
Arsenal imepata unafuu baada ya kukumbukwa na mkasa katika ya juma hili   huku  Santi Cazorla akiisaidia Timu yake kupata goli mbili  .

Cazorla aliipatia arsenal goli la kuongoza dhidi atson villa ndani ya dakika sita .

  ulinzi mbaya ulimpa nafasi  Andreas Weimann na kufunga goli la kusawazisha  ndani ya mita ishirini .
  lakini Nacho Monreal alimpatia  mpira wa krosi  Cazorla ambaye alifunga ndani ya mita kumi na mbili  katika dakika ya 85. 



No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers