
Katika hari isiyokuwa ya kutegemewa Mkasa umeanza kuhusu usajiri wa Aliyekuwa mshambuliaji wa simba sport klabu ambapo alikuwa akihudumu kwa mkopo akitokea Azam fc Mrisho Ngasa kuhusu uhalali wa kandarasi yake mwenyekiti wa kamati ya usajiri wa timu hiyo ya simba zakaria hans pope amesema kuwa klabu ya yanga inajisumbua kumsainisha mchezaji huyo na kufikili wamempata mchezoaji huyo na kuwaelezea wasahau kumpata mchezaji .
ameyasema hayo kwa njia ya simu ,pope amesema kuwa Ngasa bado ana kandarasi ya mwaka mmoja zaidi wa kuitumiakia klabu ya simba ambao aliusaini yeye mwenyewe aidha amesema sehemu pekee ya kujua uhalali wa kandarasi ya mcheo huyo ni katika shirkisho la soka la tanzania tff ambapko ndiko kandarasi hiyo ilipo pelekwa kwa ajili ya kumbukumbu zaidi amesema kwa sasa yanga wanajisumbua na wamemdangaya Ngassa katika swala kuhamia klabu hiyo .
Amesema klabu yao kwa sasa itakaa kimya mpaka TFF itakapo toa jibu sahihi la mchezji huyo ni mali ya timu gani .
No comments:
Post a Comment