Jose Mourinho Jana mchana alitua katika kiwanja cha ndege cha Heathrow na kuthibitisha kuwa anakwenda kuingozoa chelsea msimu unao kuja .
Kocha huyo maarfu kama kama
Special One alikanyaga katika uwanja ndege wa kimataifa wa Heathrow na kuanza kupigwa picha. dakika chache mara baada ya kutua kiwanjani hapo na picha hizo kuanza kuzagaa katika mitandao ya kijamii hasa Twiter ,huku mashabiki wa Chelsea wakimkalibisha
Jose Nyumabni.
Aliiambia runinga moja ya kihispaniola : ‘Mwishoni mwa msimu huu nitakuwa kocha wa chelsea .Najiskia furaha kuwa watu wananipenda na katika maisha unatakiwa kulitazama hilo. Maisha ni matamu na mafupii na unatakiwa kutazama kipi kizuri kwako.’
Welcome back: Jose Mourinho akiwa katika uwanja wa ndege wa Heathrow jana jumapili Sunday akiwa tayari kurejea katika timu yake ya Chelsea
Mreno huyu anatarajiwa kutambulishwa saa , 48 zijazo , aliwasili mara baada ya masaa kadhaa ya mechi ya Real Madrid kumalizika.
MOURINHO'S CHELSEA ROLL OF HONOUR 2004-2007
Premier League (2): 2004-05, 2005-06
FA Cup (1): 2006-07
Football League Cup (2): 2004-05, 2006-07
FA Community Shield (1): 2005
FA Cup (1): 2006-07
Football League Cup (2): 2004-05, 2006-07
FA Community Shield (1): 2005
Rais wa Madrid Florentino Perez aliimbia kituo cha cha ruinga cha Sky Sports kijana huyo mwenye miaka the 50-atarejea chelsea wakati wa kiangazi .
Perez, ambaye jana alichaguliwa kuwa Rais wa
Real bila kupingwa , alipokuwa akihojiwa na Ruinga ya
ABC: ‘Mlango haujafungwa kwa Mourinho. anaondoka .’
Mourinho’s na anakwenda Chelsea na huu ni uhamisho ambao haukutarajiwa wakati wa kiangazi ,lakini tovuti ya Premier League walikana kuwa walichapisha habari iliyosema : ‘Portuguese coach is back at Stamford
Bridge after signing a xx-year contract.’
Mreno huyo anarudi kuifundisha na amesaini kandarasi ya miaka xxx.
Goodbye: Mourinho ended his three-year reign at Real Madrid with a 4-2 win over Osasuna
‘
Mourinho ameshinda mataji kadhaa ya ligi ya uispania matatu kati ya hao ameshinda katika wakati ambao real ilihitaji kikombe hicho pale Real Madrid, lakini mahusiano yake na klabu hiyo yamekuwa yakisua sua msimu huu .
Kushindwa kwake kuchukua klabu bingwa ya ulaya msimu huu limekuwa tatizo kubwa japokuwa alikuwa na wachezaji ambao walikidhi viwango vya kuchezea real madrid .
Msimu huu wamemaliza alama 15 nyuma mabingwa Barcelona katika msimu wa ligi msimu huu ..
No comments:
Post a Comment