Mpambano huu wa Timu mbili zenye
uwezo wa hari ya juu unatarajiwa kuwa moja ya mchezo wa Kuvutia ambapo wa
Brazil wakiwa katika mpango kushinda Nishani au medali ya Kombe la Dunia wakiwa
Nyumbani wakati wajerumani wao wakitaka kushinda Kombe hilo kwa mara ya kwanza
Tangu mwaka 1990.
Baraa Limeikuta kambi ya Brazil
ambapo mchezaji wao Hodari kiwanjani Neymar ameondolewa kabisa katika
mashindano mara Baaada kupata Mkasa wa Kuvunjika Mfupa wa Uti wa Mgongo unao
juilkana kama vertebra ambapo aliumia kwenye mchezo wa Robo fainali katika Timu
ya Colombia. Meneja wa Timu ya Brazil Luiz
Felipe Scolari anatazamiwa kuja na suluhisho litakalo ziba pengo hilo,Huku
mchezaji kutoka Barcelona akiwa amefanya kazi kubwa akiwa na
Barca katika mechi za Msimu huu,na anatazamiwa kutegemea wachezaji kama Hulk na Mchezaji wa Chelsea’s Oscar akitazamiwa kuwa katika
kiwango chake cha juu. Ili aweze kuingamiza Ngome ya Timu mpinzani , Nahodha wa timu hiyo Tsiago Silva atakuwa nje akiwa anatumikia adhabu ya kadi ya
njano aliyopata katika mechi iliyopita.
Wajerumani wanaonekana kuwa wazuri
katika kuutawala mpira tena walioneka wazuri dhidi ya Ufaransa Meneja wa Timu Joachim
Low alifurahishwa na timu yake mara baada ya kuonyesha uwezo mzuri baada ya
kurejea kiwanjani kwa Mats Hummels, ambae alifunga goli la ushindi. Timu
inatarajiwa kuwa na namna hii Thomas Muller, Mario Gotze na Mchezaji toka Arsenal’s Mesut Ozil kuisumbua Safu ya Ulinzi
ya Brazil’s
Timu hizi zimekutana mara tatu katika
mechi za kirafiki na matokeo yalikuwa hivi
Germany 3 (Schweinsteiger, Gotze,
Schurrle) Brazil 2 (Robinho, Neymar), , August 2011
Germany 2 (Podolski, Ballack) Brazil
3 (Leite 2, Ronaldinho), Confederations Cup, June 2005
Germany 1 (Kuranyi) Brazil 1
(Ronaldinho), , September 2004
Tangu ukuta wa Berlin udondoke ,
Brazil imekutana na Mara tisa ambapo wamewafunga wajerumani mara tano na
wakifungwa mara mbili.
Wajerumani wameingia nusu fainali kwa
mara ya kumi na tatu Tangu mwaka 1966. Na
wametinga fainali mara sita katika mara zote hizo.
Mshambuliaji wa Lazio Miroslav Klose anahitaji goli moja tu kuvunja
Rekodi ya kuwa mfungaji bora katika historia
ya michuano ya Kombe a dunia. Kama atafunga katika mechi hiyo basi atampita
mfungaji Bora wa Brazil Nguli wa Brazil Ronaldo, ambapo sasa wanafungana kwa magoli 15 .
Brazil hawajafungwa katika mechi zao 41
za nyumabni. Mechi ya mwisho kufungwa ilikuwa Dhidi ya Paraguay mwaka 2002
,Goli lilofungwa na Tsiago Silva’s Katika Dakika ya Saba Dhidi ya Colombia lilikuwa
Goli la mapema zaidi tangu mwaka 2002 Brazil’s
ndio ilifunga goli la mwisho la mapema zaidi .
Meneja wa Brazil Luiz Felipe Scolari Hajapoteza mechi ya Kombe
la dunia akiwa na Brazil;na alikuwa kocha mara mwisho mwaka 2002 pale Selecao ilipotwa ubingwa mwaka 2002.
No comments:
Post a Comment