HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 August 2014

WENZETU WANAGOMBEA UBINGWA WA AFRIKA SISI TUNAMGOMBEA OKWI !!! (RADIO MSIKIZE MANJI)

Ni kweli akili ni nywele kila mtu anazozakwake huu msemo maarufu Tanzania na kuna msemo mwingine unasema kila mtu Duniani ni kichaa ila tonatofautina hatua za ukichaa .

Ni kweli ukipita maeneo ya Kariakoo utakuna na mambo mengi ya kustaajabisha ni kitu gani cha kihuni hautakipata soko la Kariakoo ?

Hata vilabu vya simba na yanga vinaathiriwa na Tabia nchi ya Eneo hilo hakuna siku iendayo kwa mungu kama haukusikia Migogoro katika klabu hiyo si kwenye raido au Tv sio kwenye Magazeti au Blog kuna wachezaji wengi wenye uwezo wamepita kwenye timu hizo waliotikisa Kama makumbi juma homa ya jiji Hassan Dilunga ,Peter Tino,na wachezaji wengi hakiwemo mpaka Rais aliyemaliza muda wake Leodgar Chila Tenga .

Hivi waliwahi kugombewa kiasi hiki Mchezaji kama Jela mtagwa aliwekwa mpaka kwenye Stamp za kutumia Barua lakini sikuwahi kupata kuskia hata story moja kuhusu wao kama waliwahi kugombewa tena ilikuwa mwiko mchezaji mmoja kuchezea simba na Yanga .

Lakini kuna kijana mmoja kutoka Uganda ambaye hajafikia hata kutamaniwa na Tp mazembe ya Congo Kinshasa kama ilivyokwa samata na Ulimwengu hivi okwi ana lipi jipya ambalo watanzania mil 46 hatuna kweli mtu kama Okwi ?  hatushiriki mara kwa mara mashindano ya Afrika hata Nchi yake haishiriki katika mashindano ya Mataifa hayo je mbona vilabu vya kwao havimgombei kiasi hiki au ndio Ujuha kushindwa kufikiri tu .

Hivi kweli kutoka Mtwara Tanzania hadi kilimanjaro 
Pemba na Zanzibar Hadi kigoma Ujiji Hakuna mtu zaidi okwi jamani au ndio ujuha wa kutaka kupigizana kelele zisizo na maana, maana hata soko la Samaki pale Feli kuna mpangilio katika kupiga minadana jamani ! Hivi tumelogwa Huyu ambaye hajawi kuwa hata mchezaji bora wa Tanzania pengine hajawahi kuwa hata kiongozi wa familia , hii ndio laana ndio mtajenga uwanja kweli kwa mfumo huu Nahisi kutapika Okwi Okwi Okwi Okwi nadhani kama kawaroga huyu hana Uwezo wowote wa kutisha na inawezekana akawa ana tatizo jingine Ndani ya mwili wake hayuko sawa wanamgombania hawako sawa ni matatizo na laana ndizo zinazowasumbua .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers