Aliyekuwa kocha Mkuu wa Timu ya soka ya taifa ya Tanzania Mbrazil Marcio Maximo amesema hakuna rais ambaye Anamheshimu kama Tenga na Ndiye rais wa Maisha yake kisoka Marcio amesema hayo leo mara Baada ya kutoa Ufafanuzi kuhusu timu yake kushindwa kupeleka wachezaji wa kikosi cha kwanza kwenye Michuano ya kagame.
Tenga ni Ndiye Rais wa Baraza la Vyama vya soka afrika mashariki na Kati CECAFA .
Ambapo kwa mujibu wa Kocha huyo amesema kuwa hajawahi kuona sehemu yoyote Duniani iwe kufuzu kombe la Dunia
kwa timu kutopeleka timu huku akitumia Neno la Kiingereza Boycot akiwaa anamanisha kutopeleka timu kabisa anasema wachezaji wanatakiwa kupumzika na kutokana na Shughuri kubwa ambayo wameifanya msimu huu .
SIKIZA -SAMAHANI KWA USIKIVU WA SAUTI
No comments:
Post a Comment