Pope Francis alikabidhiwa kikombe hicho cha Copa Libertadores na wachezaji na viongozi wa timu hiyo ya Argentine .
Kiongozi huyo wa kanisa Katoriki ni mshabiki mkubwa wa Timu hiyo Tangu alipokuwa Mtoto wa Miaka ambayo maskani yake ni Buenos Aires- .
Jopo la Timu hiyo liliwasili kutoka Argentine Hadi katika jiji la Vatican wakiwa na kikombe chao .
San Lorenzo wameshinda kikombe hicho kwa mara ya kwanza kikiwa ni kikombe kikubwa huko America ya kusini tangu timu hiyo ilipoanzishwa mwaka 106.
Mapema wiki hii , Papa Francis alisema : "Nina Furahi sana kuhusu Jambo hili, Lakini , Hapana , Hii sio miujiza .
"Kwangu Mimi , San Lorenzo ndio timu ambayo familia yangu imekuwa ikiisapoti .Baba Yangu alicheza kwenye timu ya mpira wa kikapu na Tulipokuwa watoto ,Mara Kadhaa tulikuwa tulikuwatunakwenda kiwanjani na mama ,"Aliongeza .
San Lorenzo iliifunga timu kutoka Paraguay's Nacional 1-0 siku ya 13 August na ilipata shilingi 2-1 kwa matokeo ya Jumla .
No comments:
Post a Comment