HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 December 2008

HII NDIO MAANA YA MAANDALIZI KWENYE MICHEZO

HII NDIO MAANA YA MAANDALIZI Naam ni wakati mwingine tena watanzania wenzangu leo nimeona niwaeleze kuhusu swala zima la maandalizi nazungumizia michezo . yapo maandalizi ya aina nyingi yapo yale short time na long time labada nifafanue long time au yale ya muda mrefu lazima yawe na vitu vifwatavyo academy za kukuzia wachezaji ya wakae kwa muda mrefu zaidi tangu wakiwa wadogo wakazoea mafunzo ya walimu na ya muda mfupi ni yale ya kuchukua wachezaji kupeleka ulaya wakaa miezi sita tena bora wawe wadogo wachezaji wenyewe wazee si maanishi ya kwamba ninaponda zile safari za brazil za kocha maximo unaye muona hapo chini mfano mzuri ni kama huu tutoke nje tuangalia mcheza kick boxer japhet kaseba hasa pale nilipotembelea kwenye gym yake pale kwake mwananyamala koamakaoma huyu amedhamiria kushindana sasa kama japhet kaseba anaweza kuwa na gym yake iweje ninyi wengine mshindwe hili lazima niweke wazi Kaka tenga hile gym yetu ya TFF vipi au imestack kama computer za ambazo ukiwasha saa moja asubuhi inajiproces saa nzima namaanisha zimeota kutu hemu angalia mfano huu wa japhet kaseba jinsi anavyoweza kujiandaa na kuwang`ung`uta wapinzani wake nadhani sio kila kitu tuanzae kumwambia kaka jakaya atufanyie mwisho tutamuomba atufatie mabasi yakwenda kuangalia mpira kiwanja njani kwa maana ya hatuna mipangilio sahihi ya ya michezo ya mpaka ratiba itoke ndio tunajiaandaa watoto washule huita msuli paper .jamani bila academy hawezekaniHata kidigo kwa mfano leo hii timu yetu inakewnda ivory coast kushiriki michuano ya mataifa ya afrika kwa wachezaji wa ndani sasa huu ni wakati muafaka wakutafuta wachezji wengine ambao watashiriki michuano kama hiyo elfu mbili na kumi na moja vile kuna michuano ya oliympick 2012 kule London ukiangalia unaweza kusema mda upo kwakweli hakuna leo elfu mbili na tisa unabakiwa na miaka mitatu ujatafuta wachezaji ujui utakapo wapata viwanja vya shule vyote mmejenga madarasa hakuna kiwanja ndio maana siku hizi watoto wengi wnacheza game play station ambapo hutumia vidole na sio miguu wachezaji ewngi watanzania hufanya juhudi binafsi tena wakiwa wameshakomaa ukimwangalia Fabregas kajenga misuri je wakwetu wana fanya hivyo maana kuna baadhi ya wachezaji ukiwapa mazoezi ya kaseba wanaweza kukojoa damu jamani maandalizi ni kitu muhimu Badae tunashekeea ushindi kama kaseba ushindi uatengenezwa namna hii sio kukurupika jamani.Lakini tatizo letu kubwa huwa tunapenda kufurahi kama kaseba anavyo furahi bila kufanyia kazi hizo furaha kwani hata kaseba anapotafuta furaha huwa natumia nguvu nyingi hili baadae awe anafurahi na kwakweli mmh al amdulilah Mungu anamsaidi kufarai. Naam kama kweli tunatafuta furaha michezoni haya kaka mkapa rais wetu mstaafu katengeneza dimba zuri kweli ambapo linakiwango cha fifa wengi hufanisha na Emirates stadium sina hakika na hilo lakini mimi nasema hizi tukiweza kupata academy moja kila mkoa wa Tanzania na maana ya nchi nzima nina amini ya kwamba tutavunja rekodi ya brazil ambayo inaaminika ndiyo timu yenye wachezaji wengi nje ya brazil kiasi wengine kubadilisha uraia kwa sababu wamekosa namba nchini kwao tanazania vilevile inaweza kufanya kufanya kitu kama hicho nchi hii inawatu zaidi ya milioni therathini na sita acha wale waombao uraia sasa je fikiria hatuwezi kupata wachezaji wengi tuwatakao naamini inawezekana. kwa mfano tuangalia ulaya wenzetu hawa furaha zao huwa wanazifanyia kazi na huwa kazi kwelikweli ukiwakuta mazoezini ni shughuli sio kama sisi wachezaji wetu ukiwaambia mazoezi saa kumi basi wataanza saa kumi na mbili kasoro sasa mnatafuta furaha au uzuni harafu mnapoona mnakaribiwa na kazi nzito mbelee ndio mnaanza kumsumbua Mungu ooh tusaidie Mungu gani mnaemuomba bila mazoezi hizi tazama leo huna mazoezi upangiwe kucheza na brazil au argentina hata ukashinde kwenye msikiti siku nzima au kanisani siku nzima sanasana mtakacho vuna nikufungwa tena huwa magoli mengi hata saba yanaweza kufika kwa sababu mnamsumbua Mungu. Ukitazama kombe la dunia wakati timu zinaposimama uwanja kuimba nyimbo za taifa utakuta wachezaji hushika mioyo lakini ni baada kufanya maandalizi ya kufa mtu ni maandalizi pekee yanayo weza kuipeleka timu paala pazuri la sivyo umkishidwa mtaanza kufanya biashara tofauti na michezo Husika labda ni wape sili moja mwaka tisini na sita Nigeria ilichukua medali ya dhahabu olimpik miaka kumia baadae wakaingia fainali japo walifungwa na wale waliowafunga fainali mwaka 1996 na inaonyesha ni kwa jinsi gani timu hizi zilivyojiandaa kutafuta furaha. Ukitazama kombe la dunia wakati timu zinaposimama uwanja kuimba nyimbo za taifa utakuta wachezaji hushika mioyo lakini ni baada kufanya maandalizi ya kufa mtu ni maandalizi pekee yanayo weza kuipeleka timu paala pazuri la sivyo umkishidwa mtaanza kufanya biashara tofauti na michezo Husika labda ni wape sili moja mwaka tisini na sita Nigeria ilichukua medali ya dhahabu olimpik miaka kumia baadae wakaingia fainali japo walifungwa na wale waliowafunga fainali mwaka 1996 na inaonyesha ni kwa jinsi gani timu hizi zilivyojiandaa kutafuta furaha. Ndugu zangu watanznia inabidi kufanya haya kabla jua halijazama kabisa na kuwa hatarini na kupoteza kizazi cha soka ambacho kocha mkuu wa tanzania marcio maximo hajaondoka na kutua cha pazuri kwani endapo hatutafanya sasa tutarili kupigwa shot ya umeme.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers