HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 February 2013

ARSENAL FAIDA TUPU LAKINI MBONA KUFUNGWA HAKUISHI KUNANI ?

Arsenal Holdings plc - Half Year Report 30-11-12 

 tu Lengo Letu ni kumfanya kila mmoja kuwa sehemu ya klabu na kuwa na mahusiano na Timu Arsenal . Tunajua hayo yanakuja kwa kushinda vikombe lakini pia jinsi tunavyopanga mambo yetu hilo litakuwa moja ya matakwa ye
Peter Hill-Wood


Akitangaza matokeo ya hayo, Mwenyekiti wa timu hiyo  Peter Hill-Wood : Amesema “ Leongo letu ni kupambana na vilabu vikubwa hapa uingereza na ulaya kwa ujumla kwa kutazama uwezo wetu wa kiuchumi ambao utaipatia klabu uwezo na uhuru.

"Lengo Letu ni kumfanya kila mmoja kuwa sehemu ya klabu na kuwa na mahusiano na Timu ya  Arsenal . Tunajua hayo yanakuja kwa kushinda vikombe lakini pia jinsi tunavyopanga mambo yetu hilo litakuwa moja ya matakwa yetu.”

Ukitazama kwa sasa jedwari inaonyesha tumepata faida kabla ya kodi £17.8 million. Na hii inatokana na mauzo ya wachezaji   £42.5 million lakini pia akaunti yetu inaonyesha faida ya uwekezaji ya pauni  £40.9 million  ya kununulia wachezaji kama  - Lukas Podolski, Santi Cazorla na  Olivier Giroud - na kuongeza mikataba kwa wachezaji waliopo .

Ambapo klabu imeongeza mikataba ya  Jack Wilshere, Theo Walcott, Kieran Gibbs, Aaron Ramsey, Alex Oxlade-Chamberlain na  Carl Jenkinson.na hivi karibuni klabu imemnunua   Nacho Monreal kutoka  Malaga.
Kutokana na kubadili kwa ratiba za mechi za nyumbani klabu imepata hasara kutoka   pauni £113.5 million hadi £106 kwa mwaka jana japokuwa ,kwa matakeo ya jumla mapato ya meongezeka  kwa pauni  £1.9 million pauni £0.5 million mwaka  2011.

Klabu haina deni la muda mfupi ambapo itasaidia kujenga uchumi  kwa muda mrefu zaidi huku wakiwa na ongezeko £123.3 million. ambapo kwa mwaka juzi  ilikuwa pauni  £115.2 million in 2011.

kwa sasa tutapata pesa zaidi kwani tumeongeza kandarasi na Emirates ambao utaiingizia arsenal pauni  £150 million. na hii itaongeza mapato  kutokana na kuingia kandarasi nyingine na  Airtel na  Malta Guinness wakidhamini zaidi safari za timu wakati wa kujindaa na msimu mpya .

Mr Hill-Wood ameongeza : “ Emirates ni moja kati ya wadhamini wakuu ambao wamekuwa wakituunga mkono sana  .”

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers