HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 April 2009

HIVI NDIVYO ASEMAVYO DISMASI MAHINDI

Naam moja katia ya vitu muhimu kwa binadamu nikupata vitu muhimu ambvyo vitaweza kumsadia nilitembelea maeneo ya feri hii leo nakujionea shughuri mbalimbali na mambo mbalimbali ambayo wavuvi wengi wa feri huwa wanafanya ili kujiretea angalau mlo moja kwa siku ukiwaona unaweza kuwaonea huruma kwa kazi kubwa wanayoifanya kwani hata vitendea kazi vyao ni duni kiasi kwamba huwezi kudhani kuwa wanapata kweli mkate wao wa kila siku kwakeli hali inatisha naam nilipata bahati ya kuzungumza na moja kati ya ya wavuvi ambao hufanya shughuri zao kila siku hapo feri. Chini pichani ni Mzee Dismas Mahindi akiwa anatengeneza nyavu ya ke ya kuvuvulia samaki katika shighuri zake za kila katika soka la feri Nilifanikiwa kuonana na Babu aliyejitambulisha kwa jina la Dismas mahindi mwenye umri wa(60) anayetoaka mkoa wa Ruvuma wilaya mbinga kabila (mmanda) mwenye um ri wa kustaafu kama angekuwa anafanya kazi serikalini nilipojitambulisha kwake kitu ambacho nilifurahi zaidi ni kuwa alinichangamkia sana kwani wapo baadhi ya watu wengine mabao hukijatambilisha kaka kuwa we ni mwandishi utakaa peke yako watakukimbia . Bwana Dismas alisema kuwa yametolewa mamilioni ya fedha kutoka kwa waziri mkuu lakini binafsi anashanga kwa sababu haoni faida ya pesa hizo kwani hata mandhari ya soko hilo vitendea kazi bado ni vibovu Dismas anayonekana bado ananguvu kutokana na kazi hiyo alionekna kukelwa zaidi na mpangilio mzima wa wa soka hilo kuwa haielewa ubora wa soko utakuwa katika hari gani baadae kwani hali bado sio nzuri kwa maana wavuvi hawasaminiwi kabisa kwani hari ya soko hilo sio nzuri hakimaaaanisha kuwa hadhi yake linashuka siku hadi siku kwani huenda kama pesa hizo zingetuma ipasavyo basi ya soko hilo lingekuwa ni bora zaidi. Moja kati mvuvi anayefanya shughuri zake katika soko la feri (dsm) akufahamika jina akiingiza mpira kwenye shavu la samaki aina ya tenga tayari kumpleka eneo husika. Laikini kwa upande mwingine shuhguri katika soko hilo ambalo linahudumia takriba dar es salaam nzima zilikuwa zikendelea katika hari yake ya kawaida ambapo baadhi ya wavuvi walifanikiwa kuvua samaki aina ya tenga mwnye kilo sabini ambaye anauzwa takribani shilingi laki moja. wavuvi katika soko la feri wakiwa katika shughuri zao za kila siku

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers