1 April 2009
HUU NDIO MUZIKI WA TAARAB
Muziki wa taraab ni moja kati ya muziki ambao upendwa na watu wastaarabu na unahistoria kubwa hasa katika historia ya Tanzania visiwani lakini umekosa nyenzo moja ambapo wapo wana muziki wengi sana japokuwa kwa Tanzania muziki huu upigwa sana Tanzania visiwani lakini moja katika ya vitu hivyo studio ya kisasa ya kurekodi nyimbo japokuwa zipo vikundi vingi vya muziki huo ambao watunzi wa muziki huo licha tu ya kutoa burudani vilevile kuelimisha kwa maana hata mme korofishana wewe na mwenzi wako pindi uskiapo tungo hizo basi bila shaka lazima mtapana kutokana na kutokuwa na studio ABBAS CHEZNTEMBA ENTERTAINMENT imemua kutengeneza studio itakayo wa gharimu kiasi cha shilingi milioni mia mbili kwa mfano unaposika sauti kama za Mwanaidi Shaban, Rukia Ramadhan ,na Mwanahawa vilevile usikiapo sauti ya chombo chs ganuni kikipigwa na Nasoro amuri mambo barabara kabisa.
Abbas chezntemba akifafanua jambo alipokuwa akiongea na wandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo.
Naam kazi kwenu wapenzi wa muziki wa taarab au mipasho kwa maana mwaletewa muziki nyororo utakaorkediwa katika studio za kisasa zaidi kupata kutokea nchini Tanzania hiyo ndio taarab kama wanavyosema wenyewe IN NARDWAN SAFAA.
PIGAA!!!! MUZIKI KAKA.............
huyo umonae pichani ni Nasoro amuri akipiga kifaa cha Ganuni chenye thamani shilingi zaidi ya laki moja na kitu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment