Nahodha na kiungo wa klabu ya Arsenal Cesc Fabregas amesema atatoa msimamo wa mustakabali wa maisha yake siku kadhaa zijazo baada ya kufanya mazungumzo na meneja wake Arsene Wenger.Fabregas, ambae bado ana mkataba wa miaka minne na klabu hiyo ya jijini London amesema bado ana furaha ya kuendelea kusalia nchini Uingereza akiwa na klabu ya Arsenal na kama itatokea anahitajika kuondoka basi chaguo lake la kwanza litakuwa ni kurejea nyumbani Barcelona
No comments:
Post a Comment