HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 August 2012

BOLT AFUNGA BOLT YA TATU KWENYE DHAHABU 4X100 KUPOKEZANA VIJITI




Jamaica smash record to win relay gold


                                                  "viajana hawa nuksi "
Usain Bolt Ameshinda Nishani ya tatu katika mashindano ya olimpick katika timu ya kupokezana viunzi ya jamaica huku walkivunja rekodi ya aina yake Bolt na timu yake walitumia Sekunde 36.84 na aliwaacha umbali wa mita takriban kumi wapinzani wake kutoka USA na wakiishia kupata Nishani ya fedha  

Nesta Carter na Michael Frater walijitahidi kwa kisai chake katika hatua za mwanzo lakini alikuwa mshindi wa mita 100 na 200 katika nishani ya fedha   Yohan Blake's  aliwasha moto katika hatua ya tatu  na kumtengenezea njia rahisi mwanadamu mwenye kasi kuliko wote dunia
Bolt ambaye alimaliza kwa ustadi wa hali ya juu  na kumuacha mbali   Ryan Baileybapo mamia ya mashabiki walimshangilia kwa kwa kukamata nafasi ya pili  
 Usain Bolt (right) and his Jamaican team-mates go for gold in the 4x100m relay
Wacanada wao walipewa shaba kabla ya kunyang'anywa Nishani hiyo kwani katika hatua ya tatu 
Jared Connaughton  kuachia kijiti kabla hajavuka mstaru wake kwa maana hiyo   Trinidad na Tobago ambao walishika nafasi ya nne wakapandishwa kushika nafasi ya tatu  kwa maana hii Bolt sasa amefikia rekodi yake ya China baada kutwa Nishani tatu za dhahabu na kwa sasa ana Nishani sita za dhahabu na atasheherea sikukuu yake ya kuzaliwa kwa furaha zaidi ambapo zimekuwa ni siku kumi na moja safi za ridha kwake na anatumai kupokewa na mamia ya wanachini huko kwake Jamaica maarufu kama 'Mobot'  pale atapovuka njia ya kwenda kwa kwao huku akishangilia ushindi Mohameh Farah wa uingereza ambaye ameshinda Nishani ya dhahabu katika mita 500

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers