Mwenyekiti wa kamati ya usajiri wa klabu ya Simba Zakaria Hans-pope aliyekama kalamu pichani amesema kuwa Mchezaji Mbuyu Twite pindi atakapo wasili nchini watamkamata na kufungilia kesi mahakamani kwa kosa la wizi wa fedha za klabu hiyo hans pope amesema haiwezekani mchezaji kusaini timu kwa wakati moja amesema kuwa siku atakayokanyaga nchni watamkamata na kupereka katika vyombo vya sheria kwa kosa la kujipiatia fedha isivyo kihalali mchezaji ambaye anadaiwa kutia saini kandarasi ya miaka mitatu na simba ya Dar es salaam pia ameweka kandarasi na klabu yanga ambayo inaonekana dhahiri kuwa amesaini yanga kwa mujibu wa katibu mkuu wa yanga Mwesigwa Celestine akihojiwa na Capital radio amesema kuwa wao wanafuata taratibu za kusajiri wachezaji na hawakulupuki katika usairi aidha chanzo cha habari kinasema kuwa baadhi ya Viongozi wa APR walifika katika makao makuu ya shirikisho la soka la mpira Tanzania tff kurejesha pesa za usairi wa mchezo walizochukua kutoka yanga kwa upande timu hiyo imeshaanza taratibu za kuomba ITC kutoka jamhuri ya kidemokarisa ya watu ambapo ndipo mchezaji huyo anapotoka hans ailisisitiza kuwa lazima wampereke mahakani je mambo soka huwa hayaruhusiwi kuperekwa mahakani alijibu kuwa wanakwenda kumshitaki kama mwizi wa fedha na si vinginevyo
No comments:
Post a Comment