Picha ni kocha mpya wa timu ya Azam fc akifundisha soka Nchini kwake huyu alikuwa mchezaji wa Zamani wa timu ya taifa ya Serbia ambaye kwa sasa ana miaka 54 ametambulishwa leo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.
Pichani ni Mwenyekiti wa klabu ya Azam fc Akimtambulisha kocha mpya wa timu hiyo Mserbia Boris Bunjak(Bunyak) Kocha huyo Amesaini Kandarasi ya Miaka miwili na klabu hiyo . |
No comments:
Post a Comment