Klabu ya soka ya yanga leo imekwenda bungeni kupereka kikombe walichoshinda cha kagame baada ya kuifunga Azam fc hii imekuwa tabia kwa timu za Tanzania hasa Simba na Yanga kwenda bungeni lakini hizi ndio mwanzo wa siasa michezo kila kukicha wakifanya jambo dogo lazima zikimbilia bungeni ndio maana hata wa bunge wengi ambao huvitumia vilabu katika matakwa yao binafsi ya kisiasa hasa simba na yanga
ni kweli kila nchi inautamaduni weka ningefurai au ningeona kuna maaana wangeenda ikulu kuveshwa nishani na mh rais kwa kazi walizo fanya lakini bungeni ni siasa mtindo mmoja hakuna kingine wanachofuata .
No comments:
Post a Comment