Nilikuwa nikimtazama kijana huyu kutoka Jamaica kwa ya ruinga walipoanza kujipanga kuanza mbio alikuwa akisali sana kwa imani yake na mbio zilipoanza wanariadha wenzake walichomoka kama gari za kileo ambazo nyingi ni automatic, kazi yako ni kukanyaga mafuta walimwacha kwa mita mbili lakini baadaye alikuja kuwapita wakania justin Gatlin na ndugu yake blake na kuibuka mshindi lakini katika picha za marejeo za runinga zilizokuwa zikirudiwa zilimuonyesha Bolt akitazama saa wakati anakimbia na alikuwa atazami wenzake nililo jifunza hapa nin kwamba jamaa huyu anashindana na saa na sio wakimbiaji wenzake anastaili ushindi wa medali hiyo aliopata ya dhahabu .
No comments:
Post a Comment