Klabu ya soka kutoka Tunisia Esperance imeshindwa kutetea rekodi yake ya kutopeteza mechi katika ligi ya mabingwa barani afrika baada ya kufungwa goli moja kwa sifuri Dhidi ASO Chlef kutoka Algeria jana Ijumaa
Mchezaji wa kimataifa wa cameron Anicet Eyenga alicheza vizuri na kufunga goli safi katika mwa kipindi cha kwanza cha mchezo huo na kuitimisha kabisa rekodi ya Esperance ya kutokufungwa takriban mechi 19 Esperance walitakiwa kukwepa kipigo ili kuwapiku mabingwa mara sita Al Ahly ya Misri ambao nao walicheza mechi 19 bila kufungwa katika miaka ya 2004 na 2006
Vijana hao kutoka Tunisia waliwapiku Ahly baada ya kuwafunga Etoile Sahel mwezi uliopita ,lakini matokeo yao yalifutwa baada ya kutokea fujo kiwanjani baada ya kufungwa na ASPAC ya Benin mwezi April, vijna hao ambaoo damu ya ushindi ilikuwa imechanganya kwa mng'ao wa dhahabu walikuwa hawajafungwa katika mechi 12 ilikutwaa ubingwa kwa mara ya pili waliwafuata katika uwanja wao nyumbani Chlef
bila ya kufungwa katika mechi saba za kufuzu kwenye makundi msimu huu . ukiachana na kutengeneza rekodi ,ni timu mbili ambazo zimekamata mnofu wa kucheza nusu fainali ya klabu bingwa afrika ambapo ni wenyewe
Esperance na Sunshine Stars kutoka Nigeria ambazo tayari zimeshatinga hatua ya nusu fainali kundi A na Chlef ambayo tayari imesukmwa nje ya michuano kwa kushika nafasi ya mwisho baada ya kupata vipigo vitatu mfululizo
Ahly na mabingwa mara nne TP Mazembe kutoka Jamhuri ya kidemocrasia ya watu wa congo ndio zimefuzu kucheza hatu ya nusu fainali katika kundi B na kesho jumapili itacheza ilikujua nani anamaliza kuwa kiongozi wa kundi hilo ili kuikwepa Esperance. Mazembe inaongoza Ahly katika mechi zilizokutanisha timu hizo ambapo itamaliza ya kwanza kama itaifunga
Berekum Chelsea ya Ghana wakati Ahly itakwaana mabingwa wa Karne huko Cairo dhidi ya
Zamalek mechi zitachezwa muda mmoja
No comments:
Post a Comment