HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 September 2012

TATIZO SIO UJIRA JAMANI

Cristiano Ronaldo
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amekanusha madai ya kuwa anataka fedha zaidi katika klabu hiyo ya Uispania Mchezaji huyo mwenye miaka ishirini na saba alikataa kushangilia moja kati ya magoli aliyoyafunga Dhidi ya granada na baadae alizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutokushangilia kwake baadhi ya magoli hayo
Ronaldo amejaribu kutumia njia nyingi kuelezea anayaotaka lakini amekanusha kuwa anachotaka kuwa sio pesa
Nina shutumiwa kwa kutaka ujira zaidi ,lakini siku moja itaonekana wazi kuwa shida sio fedha aliongeza mshambuliaji huyo
Kumekuwa kukitolewa dodoso kuwa Mshambuliaji huyo wa kireno kuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye klabu hiyo hasa katika mchakato wa kuwani Tuzo ya Uchezaji bora wa dunia katika mwaka wa pili mfululizo  na sababu kuu kuwa kiungo wa Barcelona Andres Iniesta kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa ulaya wiki iliyopita
.
Ronaldo ameongeza mabadiliko makubwa tangu ajiunge na Real Madrdi akitokea Manchester united kwa takwimu ya Dunia ya ada ya uhamisho wa Euro  £80m mwaka  2009. alifunga magoli  46 katika ligi ya uspania  La Liga  na alikuwa msaada mkubwa kuisadia Real Madrid kutwaa ubingwa wa uispania
Ronaldo amesisitiza kuwa kuhamasika kwake  ,majukumu na matarajio yake ya kushinda vikombe  hayata hathiriwa na hari ya kimawazo kwa sasa amesema kuwa anajiheshimu na kuiheshimu Real Madrid kamwe atatoa huduma yake chini ya kiwango 
wachezaji wenzake hasa  Alvaro Arbeloa amempa ahadi ya kushirikiana naye hasa mambo yanapokwenda vibaya kwenye klabu kwani wao ni kama familia moja kiwanjani  mtu mmoja anapokuwa hana furaha basi huwa tunamsadia kuwa na furaha

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers