HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 October 2012

BENTO SITARAJII KUBWA KWA RONALDO



Kocha wa timu ya soka  ya taifa ya Ureno  Paulo Bento ategemei mechi ya kesho kuwania kucheza fainali za kombe la dunia dhidi ya Ireland ya kaskazini kuwa itakuwa ni siku ya Cristiano Ronaldo .
Mchezaji huyo wa  Real Madrid anatarajia kushinda mechi yake ya mia moja kwa upande wa kimataifa  100caps ambapo ni wachezaji wawili ambao wamefanikiwa kufanya hivyo ambao  Luis Figo na Fernando Couto katika miaka ya karibuni.

Ambaye bado anaonekana mwiba wa kuotea mbali hasa katika msimu wa ligi wa mwaka huu baada ya kufunga mabao kumi nanne katika mechi kumi na moja za nje walizo cheza Real nje ya kiwanja  chao cha nyumbani,  Maumivu ya bega ambayo yalitaka kutishia hari  yake kiafya ambayo yalichelewesha uwepo wake kiwanjani lakini kesho atacheza katika kiwanja cha  Dragao.

Ambapo wanacheza na timu ambayo inashika nafasi 117katika Viwango vya fifa hii ni nafasi safi kwa  Ronaldo,  lakini Bento amemwambia acheze mechi hiyo kawaida  Bento anasema sitarajii kitu kipya kutoka kwa Ronaldo ninachotaka aweke akiri yake kwenye mchezo ni wachezaji wachache ambao huwapenda kucheza mechi kama hiyo ninachotaka awe katika kiwango chake cha kawaida 

Katika Mechi ya Kesho ya Kundi  F, Bento anatarajia wapinzani wao wataonyesha mchezo wa hari ya juu  kwani wanauezo wa kufanya hivyo wana hari nzuri ukizingatia wanacheza soka ya nguvu 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers