HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 October 2012

Uganda Ladies Golf Open Angel Eaton 73 75 77 225

KAMPALA - MTanzanian Angel Eaton alikuwa katika kiwango cha aina yake ambapo alimshinda Bingwa Mtetezi ambaye ni mtanzania mwenzake   Flavia Namakula ambaye safarii alishika nafasi tatu  katika michuano ya Golf  wanawake ambapo michezo hiyo ilisindikizwa na maenyesho ya tamaduni za kiganda .

 Eaton’s ambaye alikuwa katika mafunzo ya miezi tisa huko Afrika kusini aliongoza mizunguko yote mitatu na aliweza kujizatiti kutokushuka kiwango  ambapo alipita alama  225 -katika mapigo manne ukifananisha na  Madina Idd na Hawa Wanyenche.

 Binti hyo Mwenye Miaka  22-ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha  Dar-es-Salaam akisomea masomo ya utawala katika Biashara alimaliza mipigo tisa dhidi ya wenzake. 

 Eaton,amabaye safari yake kwenda   Kampala ilifadhiliwa na Bibi na Babu yake   Joyce na Pelle Svatvar kwa ,kumpatia fedha alijuvunia kuwa mtanzania wa kwanza kushinda mashindano ya wazi ya Uganda .
 MZambia Mwenye ’15   Devanshi Naik alishika nafasi ya tano katika mashindano hayo huku Pauline Nambi, Brenda Ngabo na  Kim Jung  walijitahidi kumaliza vizuri katika makundi  yao  A, B na C.
 Huku  Mganda akipoteza ubingwa mwaka huu katika mashindano ya Wazi ya Uganda Aidha Rais wa shirikisho la Golf   Jasper Kamukama  Amesema wachezaji wake uganda  kuwa mshindano haya ya mwaka wachezaji hawa walikuwa huru kuonyesha mitindo mbalimbali lakini hatupata tena nafasi hii hata katika mashindano yetu ya hapa nyumbani tunataka wafanye vizuri lakini hawakufanya hivyo kama walivyofanya wachezaji kutoka nje .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers