Kampuni
ya Utalii ya Indoma Tours ya Mjini Zanzibar, inawaleate mchezo mkali wa
Kirafiki wa Kimataifa wa Soka, kati ya timu ya Skonda Flota kutoka
Barani Ulaya na Timu ya Sale Mdosi Hardware, ya mjini Zanzibar, mchezo
utakaochezwa Februari 9, mwaka huu katika Uwanja wa Uzi Football Yard,
kuanzia saa 10:00 jioni.
No comments:
Post a Comment