Kwa mara ya kwanza shirikisho la soka dunia litafanya uchaguzi kuchagua mwana mama mmoja kuingia katika kamati ya utendaji ya fifa katika mkutano utakao fanyika huko Mauritius, Huku anayeshikiria nafasi kwa muda ,Lydia Nsekera kutoka Burundi ni moja kati ya wanawake wanaopewa nafasi ya kuendelea kuongoza katika nafasi hiyo .
Chama cha soka cha Burundi kiliandika historia mwaka jana katika baraza la Fifa kwa kwakuwa Nsekera alikuwa kiongozi wa Muda ambaye alihudumu kwa mwaka mmoja .
Kuanzia mwaka huu ambapo mkutano utafanyika Mauritius, nafasi hiyo ssa itakuwa inazibwa kwa kufanya uchaguzi na mshindi ndiye atakayekuwa anaongoza katika nafasi
Fifa imaefanya hivyo ili kuongeza ufanisi na kuleta muonekano mpya katika utendaji wa shirikisho hilo ”
Wanawake wengine watakao gombea nafasi hiyo ni kutoka katika chama cha CONCACAF Sonia Bien-Aime,New Zealander Paula Kearns,
No comments:
Post a Comment