Lionel Messi akitokea kwenye benchi alileta changamoto kwa wachezaji wenzake na kufanikiwa kuingia hatua nusu fainali kwa sheria ya goli la ugenini .
Javier Pastore's alifunga zuri katika kipindi cha pili na kusomeka matokeo ya 3-2 kwa jumla .
lakini Messi,ambaye alikuwa anauguza maumivu ya msuli alihusika katika utengenezaji wa goli alilofunga Pedro baada ya kuachia bakora katika mita 15 .
.
Mario Mandzukic amefunga magoli mawili wakati bayern ilipoifunga Juventus na kuingia hatua ya nusu fainali
Juventus 0
Bayern Munich 2
Mandzukic 64′ Pizarro 90′
-
- FT 90 +3
- HT 0-0
- (agg 0 - 4)
No comments:
Post a Comment