"Stand up for the Champions" Hii ni nyimbo ambayo mashabiki walikuwa wakiimba katika dimba la OT walipokuwa wakimuaga Rasmi kocha wa Manchester united Sir Alex Ferguson .
Mashabiki walijibu kwa kunyanyua bendera zilizokuwa zimeandikwa jina la mkufunzi huyo .
"Hivi Ndivyo Old Trafford ilivyolipuka baada
Sir Alex Ferguson kuingia kiwanjani akisindikizwa na Muziki "Ambao wanasema ndoto iliyokuwa ngumu kuwezekana sasa imewezekana." wakiendelea kuimba na Mabango yaliyoandikwa
"Sir Alex Ferguson. Amefanya yote kuwezekana."
"Fikiria Kocha kama huyu . Ferguson katika hari kama hii Amemaliza miaka 26 Old Trafford ameshinda ambayo yameleta raha sana na mishangao .
"Ni mtu ambaye ana mbinu nyingi , Kwakeli hayajawahi kufanyika haya ,ninaimani kuona jambo hili lipo moyoni mwake na inaonekana anafurahia hili "
Sir Alex Ferguson akitia saini majarida kadhaa ambayo anapewa na mashabiki.
No comments:
Post a Comment