.
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid Alfredo Di stefano 76 ambaye alitangaza kumuao mtangazaji wa Televisheni marry Costa ambaye ni raia wa costa mwenye miaka 35 Gina Gonzalez, , ambaye amekuwa kwenye mahusiano naye kwa miaka mitatu sasa .wawili hao walikutana wakati kimwana huyo alipokwenda kumsaidia kufanya mambo ya kiuchinguzi ambapo wamesema wataoana mwezi huu lakini watoto wa
Di Stefano wamefungua kesi mahakamani ili kulinda haki za baba yao watoto hao – Silvana, Alfredo, Helena, Sofia na Ignacio – wamefungua kesi na jaji wa Madrid wiki hii wakikubalina kufungua kesi ya kinga kuhusu mali za baba yao
No comments:
Post a Comment