Kocha wa mchezo wa ngumi nchini,Rajabu
Mhamila ‘Super
D’ ametoa DVD mpya 3 kwa ajili ya mafunzo ya mchezo wa ngumi ndani yake
kukiwa na clips za mabondia wanaofanya vizuri Tanzania kama Thomas
Mashali vs Fransic Cheka na mambondia wengine mbalimbali
CD hizo zilizotengenezwa kwa umakini wa
hali ya juu ambazo zitakuwa chachu kwa ajili ya kuvutia wapenzi na
mashabiki mbalimbali kujua mchezo wa masumbi wakiwa wanangalia live maana
DVD hizo zina maelekezo ya sheria mbalimbali ambazo zinatumika katika
masumbwi
DVD hizo kwa sasa zinapatikana katika
makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi au unaweza kuzipata jengo la
Azam lililopo mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha Polisi Post Gelezani
kwingine ni GYM ya Amana iliyopo Ilala au unaweza kuwasiliana na kocha
kwa simu 0713406938 ili uweze kupata dvd hizo kwa ajili ya kujifunza
zaidi mchezo huo
Mbali ya kupatikana katika maeneo hayo pia
katika mchezo mbalimbali ya masumbwi kutakuwa na CD na DVD za mafunzo wa mchezo
huo zenye mapambano makubwa ya mabondia wa ndani na nje ya nchi.
Aliongeza kuwa baadhi ya mapambano yaliyomo katika CD na DVD
hizo ni ya Kalama Nyilawila
,Japhert Kaseba,Rashidi Matumla, Hassani Matumla,Thomas Mashali Dhidi ya
Francis Cheka, Mbwana Matumla na
Francis Miyeyusho,Japhert Kaseba na Maneno Oswald, Said Mundi na King Class Mawe.
mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
No comments:
Post a Comment