|
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam . |
|
|
|
| |
|
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' akimkabizi mkataba wa makubaliano bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kutia saini jana katika ofisi za TPBO LTD Dar es salaam |
|
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' akimkabizi mkataba wa makubaliano bondia Simba Watunduru baada ya kutia saini jana katika ofisi za TPBO LTD Dar es salaam |
|
Rais
wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimwangalia bondia
Simba Watunduru anavyo usoma mkataba wake kabla ya kutia saini Dar es
salaam jana |
|
Rais
wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimwangalia bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitia saini mkataba wake Dar es salaam
jana |
|
Mabondia
Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class 'himu Class' King Class Mawe'
wakiangaliana kwa usongo wakati wa kutambilisha mpambano wao wa
masumbwi utakaofanyika August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es
salaam |
|
Mabondia
Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunisha
misuli wakati wa kupiga picha kwa ajili ya kutangaza mpambano wao |
|
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuli wakati wa kutangaza mpambano wao |
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam
MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' na Simba Watunduru wamekiuka miko ya mchezo wa masumbwi baada ya
kuchapana makonde kavu kavu mbele ya Rais wa TPBO, Yassini
Abdallah 'Ostadhi' wakati wa utiaji saini mkataba wa makubaliano wa
kupambana katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa August 30 katika ukumbi
wa Diamondi Jubilee
Akizungumzia
tukio hilo rais huyo alisema sijawahi kuona vitu kama hivi vya ajabu
mana vijana wamekamiana mpaka kufikia hatua ya kuchapana kavu kavu mbele
yangu hata hivyo mzozo huo umekubaliana kumalizika siku ya mpambano
wao ambapo atajulikana nani mbabe zaidi ya mwenzake
Nae
bondia Ibrahimu Class aliyeanzisha mzozo huo ameaidi kumaliza mapema
mpinzani wake ambapo anatarajia kumchakaza raundi za awali na bondia
Simba amejigamba kumchapa Class kwa KO
Wakati
wowote ule unajua huyo ni kijana mdogo sana mmeuwaisha kwangu sasa siku
hiyo mimi nitampiga KO mbaya sana najua kuwa kwa Tanzania hii mimi
ndie naongoza kuwapiga wapinzani wangu kwa KO pindi nikutanapo ulingoni
No comments:
Post a Comment