Waaandaji wa Michuano ya Kombe la Dunia Brazil wametinga Robo fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia na kuwa timu ya kwanza kutinga robo fainali katika mashindano hayo,Mara baada ya kuindoa Chile katika mashindano hayo baada ya kuishinda kwa mikwaju ya Penati ambapo matokeo yamekuwa tatu kwa mbili
.
Mauricio Pinilla na Alexis Sanchez ndio walikosa peanati , kabla ya Gonzalo Jara kukosa Penati ya Muhimu .
Katika mchezo wenyewe , David Luiz aliipatia Brazil Goli la uongozi baada ya Thiago Silva kuuparaza Mpira na kuunganisha kona iliyopigwa na Neymar'.
Chile walisawazisha Baada ya Eduardo Vargas kuokoa Mpira vibaya na kumfanya goli ambapo mlinzi wa chile Alexis Sanchez kusawazisha .
Aidha Brazil's ilipata Goli lillilofungwa na Hulk lakini lilikatariwa katika kipindi cha pili huku mwamuzi msaidiz kutoka Uingereza Michael Mullarkey kuhukumu mpira ulishikwa kabla ya kufungwa Goli
No comments:
Post a Comment