Ufaransa imeungana na timu nyingine katika hatua Robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia baada ya kuifunga Nigeria magoli mawili katika kipindi cha pili na Joseph Yobo's alijifunga mwenyewe alipokuwa akitaka kuokoa mpira yeye na kipa wake baada ya kupigwa Kona na Benzema.
kwa hiyo Nigeria inasukumwa nje kutoka jiji la Brasilia na Kurejea kwao Lagos .
Lakini Nigeria' walipata goli lilofungwa na Emmanuel Emenike katika kipindi cha kwanza lakini lilikataliwa kwakuwa mfungaji alikwisha hotea lakini Baadae Vincent Enyeama aliokoa mpira uliopigwa na Pogba.
Victor Moses aliokoa mpira uliopigwa na Karim Benzema' katikati ya Mstari baadaye Yohan Cabaye Kuunganisha wa mpira krosi uliogonga Mwamba .
Ufaransa itapambana na mshindi kati ya
Algeria na Germany katika Robo fainali .
No comments:
Post a Comment