Luis Suarez amefungiwa kucheza kwa miezi minne kwa kosa la kumng'ta mchezaji wa timu ya taifa ya italia Giorgio Chiellini.
Sasa hatatcheza katika kombe la dunia na hatoitumikia klabu yake ya Liverpool Mpaka mwishoni mwa mwezi October na amefungiwa kuichezea uruguay kwa mechi tisa na atatakiwa kulipa faiani ya Yuro £65,000.
Suarez
na chama cha soka cha uruguya wanayo haki ya kukata rufaa lakini kwa hari ilivyo mpaka rufani hiyo isikilizewe hatoweza kucheza mechi hata moja'.
Mechi ambazo Suarez atakosa katika klabu yake Liverpool hizo hapo chini
Aug 16: Liverpool v Southampton
Aug 23: Manchester City v Liverpool
Aug 30: Tottenham Hotspur v Liverpool
Sep 13: Liverpool v Aston Villa
Sep 16: Champions League matchday 1
Sep 20: West Ham United v Liverpool
Sep 27: Liverpool v Everton
Sep 30: Champions League matchday 2
Oct 4: Liverpool v West Bromwich Albion
Oct 18: Queens Park Rangers v Liverpool
Oct 21: Champions League matchday 3
Oct 25: Liverpool v Hull City
Hiizi zitakuwa mechi za msimu mzima ambazo suarez atakuwa ametumiakia zikijumuishwa na mechi alizowahi kucheza nyuma.
Taarfia kutoka chama cha soka cha Dunia inasomeka : 'Mchezaji Luis Suarez atafungiwa kucheza mechi za rasmi zinazotambulika na fifa tisa . na mechi ya kwanza kutumiakia ni mechi ya kati ya timu hiyo na Colombia itakayochezwa June 28, 2014.
'na mechi nyuingine ambazo mchezaji atazitumikia ni ambazo kama timu yake ya taifa itafanikiwa kuendelea kusonga mbele katika michuano ya kombe la Dunia .
'Mcheza huyo amefungiwa pia kujishughurisha na shughuri zozote zile zinahusiana na mchezo wa soka kwa kipini chote hicho ..'
Suarez's na wadhamini wake adidas wanafanya mazungumzo ya kina kuhusu jambo lilomkuta mchezaji wao. .
No comments:
Post a Comment