HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 August 2014

4-2-3-1 YAIUA UNITED OT NI DHIDI YA SWANSEA CITY



Utawala wa Kocha mpya wa united Louis van Gaal's katika klabu ya  Manchester United Umekutana na Mwamba katika Mechi ya Kwanza baada ya Kupoteza Mechi Dhidi swansea na ya kwanza katika msimu .
Magoli yaliyofungwa na Ki Seung Yeung na  Gylfi Sigurdsson katika kila kipindi licha ya Nahodha mpya wa United  Wayne Rooney's ambalo halikusaidia kwani Vijana wa  Garry Monk's walipata ushindi katika mechi hiyo .

Kocha mpya wa united anasema Tumesikitishwa na sana : "Hatukucheza kama Timu .Na hilo ndio lilikuwa Tatizo letu  ."
Lakini nini ambacho kimetokea katika Dakika tisini za mchezo wa kwanza wa msimu huu .
Haya Ndio mambo  ya Kujifunza 

Vijana wapya

Mtazamo katika mpira wa Miguu ni Muhimu .

Katika siku za Mwisho za Utawala wa , David Moyes’ alikuwa akiwapanga Ashley Young na  Jesse Lingard wakiwa katika nafasi za ukabaji na mawinga, watu wangeadhani anafanya mzaha wa kuchukua Penseli na kuweka kwenye pua  au kuvalia nguo za Ndani  kichwani .
Na kama  Louis van Gaal anafanya jambo kama hilo katika mechi ya kwanza na kushinda basi Angeonekana yeye ni mwerevu zaidi  , au japo kupata matokeo ya kuridhisha ingeonekana ni hivyo , lakini mholanzi aliwapa nafasi vijana wadogo katika siku ya mwanzo ya mchezo .

Naam ,Katika magazeti mengi ya Jumapili Vichwa vya habari vinaweza kuwa namna hii  , Sir Alex Ferguson alikuwa akionya kuwa "huwezi kushinda kitu na watoto ,”Lakini kijana huyu kutoka Uholanzi amekuwa akionyesha kuwa unaweza kufanya mambo hayo bila kutumia watu wazima  .na aliwahi kushinda mataji kwa mfumo kama huo akiwa na   Barcelona’s na alitengeneza wachezaji Bora kabisa . na alishinda pia na  Ajax tena akiwa na kikosi cha watoto katika michuno ya klabu bingwa Bara ulaya

 

 
Tyler Blackett na  Jesse Lingard walitumika bila ulazima leo lakini mapokeo yanakuonyesha nini ambacho anataka kuwaambia watu kocha Van Gaal wa united na anataka  kubadilisha hari ya hewa na kuleta kujiamini katika viunga vya Old Trafford.
Katika muonekano , Lingard – ambaye alikuwa akitumia kama moja ya washambuliaji watatu katika kikosi cha  Birmingham msimu uliopita  –hakuwa na mchezo mzuri . alimwacha  Wayne awe huru katika kipindi cha kwanza na alikuwa akikimbia atakavyo katika kipindi cha kwanza na alisababisha faulo kabla ya kutolewa na nje  kwa majeruhi .

Walitanua kiwanja

Mawinga hawa wakabaji wamekuwa wakicheza mara kwa mara katika wakati wa Kiangazi katika utaalamu wa Kiufundi ambao van amekuwa akitumia wakati wa mafunzo.
katika kipindi cha kwanza tuliona hasara za mfumo huu ambapo  United  kadri walivyokuwa kwenye eneo la  kukaba .walikuwa wakifanikiwa kukimbia na mipira pembeni lakini vijana wa waliporejea kukaba vijana wa united walikuwa wakizidiwa kinamba na  Adnan Januzaj  akawa anabaki peke yake na akajikuta akitaka kuonyesha uwezo ambao hana .
Katika kipindi cha pili ,walibadili mfumo na kucheza 4-2-3-1, Januzaj alijukuta peke ya kwenye goli na alipata mipira lakini aliishia kuipoteza  – na mwishoe alikuta akipata kona iliyoipatia united goli la kusawazisha kwa  United’s .

Vijana wa  Swansea

Garry Monkni moja kati ya makocha ambao wapo kwenye Orodha ya kufukuzwa  ,huku sababu kuu ikiwa ni kukosa uzoefu wa kufundisha na hasa kwa vijana wenye mdadi kama hawa  .

Lakini alitumia karata yake vizuri katika Dimba la Old Trafford ,na aliwatumia mawinga vizuri na kuwafanya   United’s mawinga kupata msaada wa ulinzi kutoka kwa  viungo Ander Herrera na  Darren Fletcher.
Na alisaidiwa na nahodha Ashley Williams alikuwa akicheza vizuri katika safu ya ulinzi  , na alizwea kuimudu safu ya ushambuliaji ya United kupoteza uelekeo ,Hasa katika kutengeneza mashambuliazi na kumfanya Juan Mata’s aonekana hana maana 

 
Kocha huyu alifanya mabadiliko matatu na hakuna hata moja alilopoteza. Dwight Tiendalli aliingia akiwa mkakamavu katika beki ya kulia huku Neil Taylor  alipotolewa akiwa na kadi ya njano mara baada ya kufanyiwa madhambi na  Januzaj. Jefferson Montero aliongeza chachu baada ya kupunguza kasi ya ushambulizi ya  United na kuongeza kasi kwa Swansea katika nafasi ya ushambuliaji  na badae Bafetimbi Gomis aliongeza nguvu akitumia mabavu na united wakaongeza umakini katika kumkaba  .
Monk atapata tabu sana msimu huu lakini anahitaji mafanikio kama yalivyopangwa na idara yake ya Ufundi .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers